Tazameni Meza ya Bwana
Tazameni Meza ya Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 14,715 |
Tazameni Meza ya Bwana Lyrics
Tazameni meza ya Bwana, inapendeza (kama nini)
Bwana Yesu ameandaa leo karamu kubwa (kweli kweli)
Ni chakula chenye uzima chakula cha roho *2- Bwana alivyo mkarimu kautoa mwili wake
Kautoa kama chakula cha wokovu wetu - Mwili wa Bwana Yesu ni chakula ni chakula bora cha uzima
Damu yake Bwana Yesu ni kinywaji cha kweli - Bwana ametualika, sote tujongee mezani
Tukale chakula cha uzima wa roho zetu