Tazameni Miujiza

Tazameni Miujiza
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumTazameni Miujiza (Vol 2)
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Timesignature6 8
MusickeyE Major

Tazameni Miujiza Lyrics


Tazameni miujiza ya Mungu, tazameni maajabu,
Anayotutendea, viumbe tuishio duniani
Katuumba sura mfano wake, mwili wenye kupendeza,
Akili ya maarifa yenye utashi wa kila namna
Nafikiri mimi ninafikiri, Bwana ni nani ni nani ni nani,
Ni nani, ni nani, aliye sawa na wewe Muumba


{Tumpigie makofi, shangwe, watu wote, leo ni shangwe,
Ufukweni mwa bahari, tuimbe wote tumtukuze Mungu } *21. Nafikiri nafikiri, mimi nimeumbwa vipi,
Maajabu yake Mungu, kaniumba mi nilivyo

2. Dunia ilivyoumbwa, ni kweli Inashangaza,
Yenye wanyama mimea na ardhi yenye rutuba

3. Nashukuru ee Mungu, kwa mema uliyonipa,
Milele hata milele, utukuzwe Mungu wangu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442