Tufurahi Mkombozi Kazaliwa
| Tufurahi Mkombozi Kazaliwa | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Noeli (Christmas Carols) |
| Views | 4,551 |
Tufurahi Mkombozi Kazaliwa Lyrics
Tufurahi Mkombozi leo kazaliwa
Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu
Na tufanye shangwe tumshangilie
Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu- Dunia yote ifanye shangwe mbele za Bwana
Mwokozi kazaliwa - Na wachungaji wanafurahi
na malaika mbinguni wanaimba - Amezaliwa kwa ajili yetu,
tumpokee tuimbe aleluya - Ametutoa katika giza tufurahie
Mwokozi kazaliwa - Utukufu kwa Mungu mbinguni
na duniani kote kuwe amani