Tufurahi Mkombozi Kazaliwa Lyrics

TUFURAHI MKOMBOZI KAZALIWA

Tufurahi Mkombozi leo kazaliwa
Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu
Na tufanye shangwe tumshangilie
Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu

 1. Dunia yote ifanye shangwe mbele za Bwana
  Mwokozi kazaliwa
 2. Na wachungaji wanafurahi
  na malaika mbinguni wanaimba
 3. Amezaliwa kwa ajili yetu,
  tumpokee tuimbe aleluya
 4. Ametutoa katika giza tufurahie
  Mwokozi kazaliwa
 5. Utukufu kwa Mungu mbinguni
  na duniani kote kuwe amani
Tufurahi Mkombozi Kazaliwa
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments