Tuingie Katika Nyumba

Tuingie Katika Nyumba
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views3,659

Tuingie Katika Nyumba Lyrics

  1. [v] Tuingie katika nyumba ya Bwana
    [w] Tuingie tuingie
    [v ] Tuingie katika nyumba ya Bwana
    [w] Kwa furaha na vigelegele

  2. [s] Wababa wote njooni tuingie -
    [w:] Kwa furaha na vigelegele
    Wamama wote njooni tuingie
  3. Wazee wote njooni tuingie
    Watoto wote njooni tuingie
  4. Wakristu wote njooni tuingie
    Waumini wote njooni tuingie