Tuingie kwa Yahwe
| Tuingie kwa Yahwe | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 19,401 | 
Tuingie kwa Yahwe Lyrics
- [ v ] Tuingie -
 [ w ] Tuingie kwa Yahweh Bwana
 [ v ] Yahweh Bwana
 [ w ] Furaha nyingi siku ya leo *2
- Nalifurahi waliponiambia, tutaingia nyumba ya sala
- Bwana asema nyumba yangu i leo, itaitwa nyumba ya sala
- Tumwabudu Bwana Yesu Kristu, atupa uzima wa milele
- Tufurahie siku hii ya leo, kwani ni siku yake Bwana
- Sasa miguu yetu isimame, katika hekalu lake Bwana
- Tumshukuru Bwana Yesu Kristu, atupa uzima wa milele
 
  
         
                            