Tuingie kwa Yahwe Lyrics

TUINGIE KWA YAHWE

[ v ] Tuingie -
[ w ] Tuingie kwa Yahweh Bwana
[ v ] Yahweh Bwana
[ w ] Furaha nyingi siku ya leo *2

  1. Nalifurahi waliponiambia, tutaingia nyumba ya sala
  2. Bwana asema nyumba yangu i leo, itaitwa nyumba ya sala
  3. Tumwabudu Bwana Yesu Kristu, atupa uzima wa milele
  4. Tufurahie siku hii ya leo, kwani ni siku yake Bwana
  5. Sasa miguu yetu isimame, katika hekalu lake Bwana
  6. Tumshukuru Bwana Yesu Kristu, atupa uzima wa milele
Tuingie kwa Yahwe
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments