Tuingie Nyumbani

Tuingie Nyumbani
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views8,776

Tuingie Nyumbani Lyrics

  1. Tuingie nyumbani, tuingie nyumbani
    Kwa Baba Muumba wetu, milango yote wazi

  2. Bwana anatungoja - tuingie kwa shangwe
    Baba anatungoja -
    Roho Mtakatifu -
    Utatu Mtakatifu -
  3. Tuungoje uso wake -
    Tukapate neema -
    Tupate kuokoka -
    Shukrani tumtolee -
  4. Leo ni siku kuu -
    Tumshukuru Mwenyezi -
    Yeye Mchungaji mwema -
    Nasi kondoo wake -
  5. Maria Mama yetu -
    Mwombezi wetu wote -
    Yusufu Mtakatifu -
    Watakatifu wote -