Tuingie Nyumbani Lyrics

TUINGIE NYUMBANI

Tuingie nyumbani, tuingie nyumbani
Kwa Baba Muumba wetu, milango yote wazi

 1. Bwana anatungoja - tuingie kwa shangwe
  Baba anatungoja -
  Roho Mtakatifu -
  Utatu Mtakatifu -
 2. Tuungoje uso wake -
  Tukapate neema -
  Tupate kuokoka -
  Shukrani tumtolee -
 3. Leo ni siku kuu -
  Tumshukuru Mwenyezi -
  Yeye Mchungaji mwema -
  Nasi kondoo wake -
 4. Maria Mama yetu -
  Mwombezi wetu wote -
  Yusufu Mtakatifu -
  Watakatifu wote -
Tuingie Nyumbani
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments