Tuingie Nyumbani Mwa Bwana
Tuingie Nyumbani Mwa Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 15,747 |
Tuingie Nyumbani Mwa Bwana Lyrics
{ Tuingie nyumbani mwa Bwana,
Kwa furaha na shangwe tele }*2- Bwana Yesu atualika
kwa furaha na shangwe tele
Twende kwake siku ya leo - Vijana wote mwakaribishwa
Vigelegele na tuvipige - Waimbaji wote mwakaribishwa
Mcheze ngoma pia kwayamba - Wazee wote mwakaribishwa
Muimbe nyimbo za kumsifu - Watawa wote mwakaribishwa
Walei wote mwakribishwa