Tuingie Sote
| Tuingie Sote | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Views | 8,777 |
Tuingie Sote Lyrics
- Tuingie sote tuingie kwa furaha – nyumbani
Ni nyumba ya sala tuingie kwa furahaSote - tuingie sote, nyumbani mwa Bwana
Nyumba takatifu, twende tumwabudu
Tuingie sote nyumbani mwa Bwana
Nyumba takatifu, twende tumwabudu - Kina baba wote tuingie kwa furaha...
- Kina mama wote tuingie kwa furaha...
- Na vijana wote tuingie kwa furaha...
- Na watoto wote tuingie kwa furaha...