Tulitangaze Neno
Tulitangaze Neno | |
---|---|
Alt Title | Tumeitwa na Yesu |
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 9,564 |
Tulitangaze Neno Lyrics
- Tumeitwa na Yesu - tulitangaze Neno *2
Wazee pia na wamama - tulitangaze Neno * 2Tulitangaze neno lake, kwa mataifa mbalimbali
Tulitangaze neno lake, ulimwenguni kote - Ni neno la bariki-
Ni neno pia lafariji - Vijana na watoto -
Wadogo pia na wakubwa - Ni neno linakuja-
Ni neno pia laokoa- - Ni neno lake Bwana -
Ni neno ambalo linaponya -