Tumaini Letu

Tumaini Letu
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Composer(traditional)
Views24,858

Tumaini Letu Lyrics

  1. Tumaini letu ni kwa Bwana
    Kwa maana ana uwezo wa milele

  2. Tutamsifu Bwana siku zote -
    Kwa maana ana uwezo wa milele
  3. Yeye ndiye mwanzo wa uzima -
  4. Vitu vyote vimeumbwa naye -
  5. Yeye ndiye kiongozi wetu -
  6. Yeye ndiye aliyetuumba -
  7. Tumsifu tumwabudu daima -
  8. Ni yeye anayetuongoza -
  9. Sifa na uwezo viwe kwake -
  10. Nguvu na ulinzi ni kwake -