Tumepewa Mtoto
Tumepewa Mtoto | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Views | 4,069 |
Tumepewa Mtoto Lyrics
[s:] Tumepewa Mtoto
[w:] Tumepewa mtoto mwanaume *2
Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake *2
[s:] Naye ataitwa jina lake
[w:] Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu
Baba wa milele, Mfalme wa amani *2- Maombezi na enzi yake na amani
Hayatakuwa na mwisho kamwe - Katika kiti cha enzi cha Daudi
Na ufalme wake milele - Kuthibitisha na kutegemeza
Kwa hukumu na haki - Tangu sasa na hata milele wingu
wa Bwana wa Majeshi, ndio utakaotenda hayo