Tumpe Bwana Utukufu Wake

Tumpe Bwana Utukufu Wake
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Composer(traditional)
Views3,997

Tumpe Bwana Utukufu Wake Lyrics

  1. Tumpe Bwana utukufu wake
    Tumwabudu anakuja kwetu

  2. Nyoyo zetu zatakaswa na Neno la Kristu
  3. Neno lake na likae kwa wingi moyoni
  4. Sifa zake tuzinene zisambae pote
  5. Tumwimbie nyimbo zetu anakuja kwetu

    Alleluia, tuimbe alleluia