Tumshukuru Bwana
| Tumshukuru Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 6,210 |
Tumshukuru Bwana Lyrics
Tumshukuru Bwana Mungu wetu
Kwa maana yeye ndiye mwema *2- Katika mashaka nimekaa, ameniokoa Bwana
- Bwana ni msaidizi wangu, wala siogopi tena
- Nimemkimbilia Bwana, yeye ndiye mwaminifu
- Mkono wake wa kiume, umeniinua kweli
- Hayo yametendwa na Bwana, nayo ni muujiza kweli