Tumshukuru Bwana Lyrics

TUMSHUKURU BWANA

Tumshukuru Bwana Mungu wetu
Kwa maana yeye ndiye mwema *2

  1. Katika mashaka nimekaa, ameniokoa Bwana
  2. Bwana ni msaidizi wangu, wala siogopi tena
  3. Nimemkimbilia Bwana, yeye ndiye mwaminifu
  4. Mkono wake wa kiume, umeniinua kweli
  5. Hayo yametendwa na Bwana, nayo ni muujiza kweli
Tumshukuru Bwana
CHOIR
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments