Tumsifu Mariamu
Tumsifu Mariamu | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Nakupenda Maria |
Category | Bikira Maria |
Composer | (traditional) |
Tumsifu Mariamu Lyrics
-
Tumsifu Maryamu enyi wanae
Tumtolee salamu tumshangilieAve ave Ave Maria *2
-
Katika uwingu ni ufalme mkuu
Mwondoa hatari mama wa Mungu -
Nyota za bahari mlango wa mbingu
Mwondoa hatari mama wa Mungu -
Maria Bikira ndiye mteule
Ndiye mwana bora tangu milele