Tumwimbie Mungu Lyrics

TUMWIMBIE MUNGU

Tumwimbie Mungu uu u, Aleluya
Tumwimbie Mungu hosanna aa a
Tumwimbie Mungu hosanna aa a

 1. Tunakuheshimu tunakusifu
  Tumwimbie Mungu hosanna
  Tunakuabudu twakutukuza
  Tumwimbie Mungu hosanna
 2. Tunakushukuru mfalme wa Mbingu -
  Mwana wa pekee mwana wa Baba -
 3. Unayeondoa makosa yetu -
  Utuhurumie tusikilize -
 4. Kuume kwa Baba unapoketi -
  Kuume kwa Baba unapoketi -
 5. Roho Mtakatifu pamoja nawe -
  Ndani yake Bwana unatukuzwa -
Tumwimbie Mungu
CATEGORYMisa (Sung Mass)
 • Comments