Tunyunyizie Maji
Tunyunyizie Maji | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 6,688 |
Tunyunyizie Maji Lyrics
Tunyunyizie maji ee Bwana
Ututakase dhambi zetu *2- Nami nitawapa nyinyi , moyo mpya
- Nami nitatoa, moyo wenu wa jiwe
- Nami nitawapa, moyo wa nyama
- Nitatia roho yangu, ndani yenu
- Nitawaendesha, katika sharia zangu
- Nanyi mtakuwa, watu wangu
- Nami nitakuwa, Mungu wenu