Twaeni Mle Wote
Twaeni Mle Wote | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 4,975 |
Twaeni Mle Wote Lyrics
Twaeni mle wote huu ndio mwili wangu
Twaeni mnywe wote hii ndiyo damu yangu
Fanyeni hivi, kwa kunikumbuka mimi *4- Yesu alitoa mkate, akashukuru, akaumega
Akawapa wafuasi wake akisema - Huu ndio mwili wangu, twaeni mle wote
Akawapa, fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi - Hii ndiyo damu yangu, twaeni mnywe wote
Akawapa, hiki ni kikombe cha damu yangu