Twakushukuru u Mwema

Twakushukuru u Mwema
Performed by-
CategoryThanksgiving / Shukrani
Views7,947

Twakushukuru u Mwema Lyrics

  1. Twakushukuru u mwema sana, Yesu asante *2

  2. Kwa kutulisha sisi -
    Kwa kutunywesha sisi -
    Kwa kujiunga nasi -
    Kwa kutuunganisha -
  3. Kwa mwili wako bora -
    Kwa damu yako bora -
    Kwa kuja ndani yetu -
    Kwa kukaa na sisi -
  4. Kwa mafundisho yako -
    Kwa mfano wako bora -
    Kwa msalaba wako -
    Kwa ufufuko wako -
  5. Kwa sakramenti zako -
    Kwa uchungaji wako -
    Kwa maombezi yako -
    Kwa ukombozi wako -