Login | Register

Sauti za Kuimba

Twakushukuru u Mwema Lyrics

TWAKUSHUKURU U MWEMA

Twakushukuru u mwema sana, Yesu asante *2

 1. Kwa kutulisha sisi -
  Kwa kutunywesha sisi -
  Kwa kujiunga nasi -
  Kwa kutuunganisha -
 2. Kwa mwili wako bora -
  Kwa damu yako bora -
  Kwa kuja ndani yetu -
  Kwa kukaa na sisi -
 3. Kwa mafundisho yako -
  Kwa mfano wako bora -
  Kwa msalaba wako -
  Kwa ufufuko wako -
 4. Kwa sakramenti zako -
  Kwa uchungaji wako -
  Kwa maombezi yako -
  Kwa ukombozi wako -
Twakushukuru u Mwema
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments