Twashukuru Baba Mungu
| Twashukuru Baba Mungu | |
|---|---|
| Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
| Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 5,856 |
Twashukuru Baba Mungu Lyrics
- Twashukuru Baba Mungu, kwayo mema yako yote
Kwayo mema yako Baba, ambayo watujaliaSifa kwako ee Baba, watupenda sana,
Ninakutukuza kwa nyimbo nzuri ee Baba - Mwambieni na matendo, yake Bwana yanatisha
Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake - Mkonowe wa kuume umetenda makuu
Mkonowe si tunasema, umetenda maajabu - Mwimbieni Bwana Mungu, mwimbieni wimbo mpya
Kwa vinanda na kwa vinubi, kwa nderemo na vifijo