Twende Sote Nyumbani Mwake
   
    
     
         
          
            Twende Sote Nyumbani Mwake Lyrics
 
             
            
- { Twende sote nyumbani mwake, Bwana Mungu ( aee )
 Twende sote nyumbani mwake aliyetuumba } *2
- Yeye ndiye kinga yetu - Bwana Mungu (aee)
 Twende sote nyumbani mwake aliyetuumba
 Yeye ndiye nguvu yetu -
- Yeye Bwana wa majeshi -
 Ndiye Mungu wa Yakobo -
- Yeye mfalme wa wafalme -
 Ndiye mfalme wa dunia -
- Ndiye Mfalme wa Mbinguni -
 Yeye Mungu wa wokovu -
- Yeye ndiye mwamba wetu-
 Ni hekima ya dunia -
- Jina lake litukuzwe -
 Ndiye Mungu mtakatifu -
- Pendo lake la milele -
 Ndiye Mungu mwema kweli -