Twende Twende Tumpokee
| Twende Twende Tumpokee | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Views | 4,483 |
Twende Twende Tumpokee Lyrics
Twende twende tumpokee
Twende twende tumpokee- Ee Sayuni umsifu Mkombozi wako
- Umwimbie Mchunga nyimbo za zaburi
- Kwani astahili sifa zetu zote
- Tunamshangilia kwa ajili ya mkate
- Mkate wa uzima ndio mwili wake
- Alitoa kwa mitume wake
- Anatualika kwa karamu yake
- Aliyoamuru ili tumkumbuke
- Mwili na damuye zinatuokoa
- Jambo la ajabu tusiloelewa
- Imani pekee yafahamu siri