Twende Twende Tumpokee Lyrics

TWENDE TWENDE TUMPOKEE

Twende twende tumpokee
Twende twende tumpokee

 1. Ee Sayuni umsifu Mkombozi wako
 2. Umwimbie Mchunga nyimbo za zaburi
 3. Kwani astahili sifa zetu zote
 4. Tunamshangilia kwa ajili ya mkate
 5. Mkate wa uzima ndio mwili wake
 6. Alitoa kwa mitume wake
 7. Anatualika kwa karamu yake
 8. Aliyoamuru ili tumkumbuke
 9. Mwili na damuye zinatuokoa
 10. Jambo la ajabu tusiloelewa
 11. Imani pekee yafahamu siri
Twende Twende Tumpokee
CHOIR
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments