Twendeni Tukayatangaze

Twendeni Tukayatangaze
Performed bySt. Francis of Assisi Kariobangi
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerAlfred Ossonga
Views4,517

Twendeni Tukayatangaze Lyrics

  1. Twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia *2

    Tuliyoyasoma katika masomo
    Tuliyofundishwa katika injili
    Twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia *2

  2. Twendeni tukayahubiri katika mataifa
  3. Twendeni kote duniani tupeleke ujumbe
  4. Twendeni tukalieneze agizo lake Bwana
  5. Twendeni tukayasambaze ulimwenguni mwote