Twendeni Wote
Twendeni Wote | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 10,247 |
Twendeni Wote Lyrics
Twendeni wote, twendeni wote
Tumwabudu Bwana ( kwa furaha )- Bwana ni mtawala amevaa utukufu
- Mbingu zifurahi dunia ishangilie
- Mashuhuda yake yanastahili imani
- Anatutawala kwa haki na uamini
- Tumpigie shangwe mwamba wa wokovu wetu
- Njooni tumsujudu yeye aliyetuumba
- Kwa nyimbo za sifa tujongee uso wake
- Enyi waadili tukuzeni jina lake