Twimbe Kwa Shangwe
| Twimbe Kwa Shangwe | |
|---|---|
![]() | |
| Performed by | Sauti Tamu Melodies |
| Album | Season 4 |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | Rev Dr. Sr. Bibiana Munini |
| Video | Watch on YouTube |
| Views | 30,076 |
Twimbe Kwa Shangwe Lyrics
Twimbe kwa shangwe na furaha *2
Bwana ametufanyia makuu- Tuingie kwake Mungu wetu,
Tuingie kwake kwa shukrani,
Bwana ametufanyia makuu - Yeye ndiye Mungu wa miungu,
Yeye ndiye Bwana wa mabwana,
Bwana ametufanyia makuu - Bwana ni mfalme wa wafalme,
Yeye ndiye Baba wa viumbe,
Bwana ametufanyia makuu - Ametenda mambo ya ajabu,
Aliye gizani hatajua,
Bwana ametufanyia makuu - Tuingie kwake Muumba wetu
Tuingie kwake kwa shukrani
Bwana ametufanyia makuu - Sifa na heshima kwake Mungu
Mwenye utukufu wa ajabu
Bwana ametufanyia makuu
