Ufurahi Moyo Wao
Ufurahi Moyo Wao | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Views | 3,418 |
Ufurahi Moyo Wao Lyrics
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana *2
(mtakieni) Bwana (mtakieni) nazo nguvu zake
Utafuteni uso wake siku zote- Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake
Wajulisheni watu matendo yake - Yeye Bwana ndiye yeye,
yeye ndiye Mungu wetu
Dunia yote imejaa hukumu zake