Ee Bwana Ulimwengu Wote
Ee Bwana Ulimwengu Wote | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 3,977 |
Ee Bwana Ulimwengu Wote Lyrics
{Ee Bwana ulimwengu wote uko katika uweza wako}
|s| Wala hakuna awezaye kukupinga,
wala hakuna awezaye kukupinga (ukitaka*2)
|a| Wala hakuna, awezaaaye awezaye
kuukupinga ukita-ka ukitaka
|t| Wala hakuna awezaye kukupinga
awezaye kukupinga ukitaka ukitaka
|b| Wala Hakuna kukupinga awezaye
kukupinga ukitaka- Ulitukuze jina lako na kututendea,
Sawasawa na wingi wa fadhili zako - Ee Bwana fadhili zako ni za milele Bwana
Usisahau kazi ya mikono yako - Ndiwe stara yangu Bwana utanihifadhi na mateso,
utanizungushia nyimbo za wokovu