Unihurumie Mimi Bwana
| Unihurumie Mimi Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Views | 17,149 | 
Unihurumie Mimi Bwana Lyrics
- Unihurumie mimi Bwana
 Nimetenda dhambi mimi Bwana
 Ninakusihi ee Mungu wangu
 Unisamehe makosa yangu
 (Niliyokutendea ewe Mungu wangu
 na jirani yangu *2)
- Nami nimetengwa nawe Bwana nihurumie,
 Mimi ni mkosefu
- Naogopa uso wako unihurumie baba,
 Mimi ni mkosefu
- Wewe Baba Mwenye huruma unihurumie
 Mimi nimetenda dhambi
 
  
         
                            