Unihurumie Mimi Bwana

Unihurumie Mimi Bwana
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Unihurumie Mimi Bwana Lyrics

Unihurumie mimi Bwana
Nimetenda dhambi mimi Bwana
Ninakusihi ee Mungu wangu
Unisamehe makosa yangu
(Niliyokutendea ewe Mungu wangu
na jirani yangu *2)

  1. Nami nimetengwa nawe Bwana nihurumie,
    Mimi ni mkosefu
  2. Naogopa uso wako unihurumie baba,
    Mimi ni mkosefu
  3. Wewe Baba Mwenye huruma unihurumie
    Mimi nimetenda dhambi