Uninyunyizie Maji
Uninyunyizie Maji | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 101,183 |
Uninyunyizie Maji Lyrics
- Uninyunyizie maji (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2 - Mimi ni mwenye dhambi (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2 - Natamani nije kwako (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2 - Naingia nyumba yako (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2 - Niuone uso wako (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2 - Nifurahi milele (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2