Utujie Masiya Wetu

Utujie Masiya Wetu
Performed by-
CategoryMajilio (Advent)
Composer(traditional)
Views8,091

Utujie Masiya Wetu Lyrics

  1. Utujie Masiya wetu

  2. Wakungojao hawatafadhaika-
    Utujie Masiya wetu
  3. Unayeketi juu ya kerubini-
  4. Amsha uwezo wako uje-
  5. Dondokeni enyi mbinguni toka juu-
  6. Na mawingu yamshushe mwenye haki
  7. Nchi na ifunike na kumzaa Mkombozi