Utukufu Kwa Mungu (MISA CENTINARY)
| Utukufu Kwa Mungu (MISA CENTINARY) |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 18,711 |
Utukufu Kwa Mungu (MISA CENTINARY) Lyrics
- Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, Na amani iwe
kwa watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Tunakusifu tunakusifu, tunakuheshimu
Tunakuabudu, tunakutukuza
- Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako
Mkuu ee Bwana ni Mungu ndiwe mfalme wa mbinguni.
- Ee Baba mwenyezi Bwana Yesu Kristu, e mwana wa pekee
Ee Mungu Mwanakondoo wa Mungu mwana wake Baba
- Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
Tuhurumie maombi yetu Bwana uyapokee
- Mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie
Kwa kuwa ndiwe peke yako ni mtakatifu
- Peke yako Bwana peke yako mkuu ewe Yesu Kristu
Pamoja naye Roho Mtakatifu milele yote.