Utukufu Kwa Mungu (MISA FADHILI)
Utukufu Kwa Mungu (MISA FADHILI) |
---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 11,311 |
Utukufu Kwa Mungu (MISA FADHILI) Lyrics
[t] Utukufu kwa Mungu Mbinguni
[w] Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni
Na amani (kote) duniani
(kwa) watu wa mapenzi mema.
- Tunakuheshimu tunakusifu,
Tunakuabudu twakutukuza ee Bwana
- Tunakushukuru mfalme wa Mbingu
Mwana wa pekee mwana wa Baba ee Bwana
- Unayeondoa makosa yetu
Utuhurumie tusikilize ee Bwana
- Kuume kwa Baba unapoketi
Mtakatifu mkuu tuhurumie ee Bwana
- Roho Mtakatifu pamoja nawe,
Ndani yake Bwana unatukuzwa ee Bwana