Utukufu kwa Mungu (MISA IMANI)
| Utukufu kwa Mungu (MISA IMANI) | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 5,043 |
Utukufu kwa Mungu (MISA IMANI) Lyrics
Utukufu kwa Mungu na amani kwa watu wote duniani *2
- Tunakuheshimu tunakusifu,
Tunakuabudu twakutukuza - Tunakushukuru mfalme wa Mbingu,
Mwana wa pekee mwana wa Baba - Unayeondoa makosa yetu,
Utuhurumie tusikilize - Kuume kwa Baba unapoketi,
Mtakatifu mkuu tuhurumie