Utukufu Kwa Mungu
| Utukufu Kwa Mungu |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 6,256 |
Utukufu Kwa Mungu Lyrics
Utukufu kwa Mungu Mbinguni
[Juu mbinguni]
Na amani kwa wateule
[Na amani kwa wateule]
- Tunakutolea maombi yetu,
Tunakushukuru Mungu Baba Mwenyezi
- Usifiwe Yesu Mkombozi wetu
Mwana wake Mungu sadaka yetu
- Utuwie radhi ewe Mungu mwana
Unayeondoa dhambi za dunia
- Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba
Utuhurumie utusikilize
- Ewe peke yako ndiwe Mtakatifu
Peke yako Bwana peke yako Mkuu
- Pamoja na Roho Mtakatifu
Katika utukufu wake Mungu Baba