Utukufu kwa Mungu (MISA VOI)
Utukufu kwa Mungu (MISA VOI) |
---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 7,045 |
Utukufu kwa Mungu (MISA VOI) Lyrics
- Utukufu kwa Mungu Baba juu mbinguni
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni na amani
Amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema
- Nayo sifa na heshima tunakupa wewe
Na ibada, utukufu pia kwako wewe
- Ewe Bwana ndiwe mfalme juu mbinguni
Bwana Mungu Baba, Baba mwenyezi
- Ewe Bwana ndiwe mfalme juu mbinguni
Bwana Mungu mwana kondoo wa Mungu Bwana
- Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia
Twakuomba ee Bwana utuhurumie
- Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia
Twakuomba upokee ombi letu Bwana
- Ewe mwenye kuketi kule kuume
Kuume kwa Mungu Baba utuhurumie
- Peke yako mtakatifu, peke yako Bwana
Peke yako u mkuu Yesu Kristu
- Pamoja naye Roho, Roho Mtakatifu
Katika utukufu wake Mungu Baba