Utukufu kwa Mungu juu (MISA ELIZABETI)

Utukufu kwa Mungu juu (MISA ELIZABETI)
Performed by-
CategoryTBA
Views6,940

Utukufu kwa Mungu juu (MISA ELIZABETI) Lyrics

  1. Utukufu kwa Mungu juu, na amani duniani,
    Kwa watu wenye mapenzi mema *2

  2. Tunakusifu tunakuheshimu
    Sifa ni kwako milele yote
    Tunakuabudu, tunakutukuza -
    Twakushukuru kwa utukufu -
    Mfalme wa mbingu, Baba mwenyezi -
  3. Yesu Kristu, mwana wa pekee -
    Mwanakondoo, mwana wake Baba -
    Uondoaye dhambi za dunia -
    Utuhurumie utusikilize -
  4. Unayeketi kuume kwa Baba -
    Mtakatifu mkuu Yesu Kristu -
    Na pamoja naye Roho Mtakatifu -
    Ndaniye Baba. Amina. Amina -