Vumilia Roho Yangu

Vumilia Roho Yangu
Choir-
CategoryFaith

Vumilia Roho Yangu Lyrics

Vumilia roho yangu, Majaribu ni kama moto,
Yanayochoma imani yangu,Bwana naomba unisaidie1. Siku za Bwana ni nyakati hizi, wenye imani wamewekwa kando
Imani yao ijaribiwe, Bwana naomba unisaidie

2. Shetani naye amekazana, kuharibu waliojenga
Lakini Bwana ninakuomba, Bwana naomba unisaidie

3. Natoka kwako, Shetani hapana, ndani yangu niwe salama
Yesu nifiche nisionekane, Bwana naomba unisaidie

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442