Walipomuua Yesu
| Walipomuua Yesu | |
|---|---|
| Alt Title | Walipomsulubisha |
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 13,181 |
Walipomuua Yesu Lyrics
- Walipomuua Yesu walidhani wameshinda
Kumbe badala yake injili yaenda mbeleInjili yaenda mbele, injili yaenda mbele,
Kumbe badala yake injili yaenda mbele - Walipomsulubisha walidhani . . .
- Walipomtema mate walidhani . . .
- Walipomnywesha siki walidhani . . .