Wastahili Sifa
| Wastahili Sifa | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
| Album | Nikiziangalia Mbingu (vol 18) |
| Category | Zaburi |
| Composer | Mutaboyerwa |
| Views | 8,848 |
Wastahili Sifa Lyrics
{ Wastahili sifa ee Mungu huko Sioni
Watu watakutimizia wewe ahadi zao
Maana wewe wajibu sala zetu }*2- [s] Tunapoelemewa na makosa yetu
Wewe mwenyewe watusamehe - [t] Heri wale unaowachagua na kuwaleta karibu
Waishi katika maskani yako - [a] Wasababisha furaha kila wakati
Toka mashariki hata magharibi - [b] Wewe waitunza nchi kwa kuinyeshea mvua
Waijalia rutuba na kuistawisha