Watu na Wakushukuru
Watu na Wakushukuru | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mshike Mshike (Vol 5) |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | D. Rukuguru |
Views | 6,806 |
Watu na Wakushukuru Lyrics
{ Watu na wakushukuru,
Watu na wakushukuru ee Mungu, wakushukuru } *2
{ Na wakushukuru , wakushukuru *2
Ee Mungu, watu wote na wakushukuru Mungu } *2- Mungu na atufadhili na kutuangazia,
Kutuangazia uso wake - Njia yake ijulikane duniani kote,
Wokovu wake kwa mataifa yote - Nchi imetoa imetoa mazao yake,
Mungu wetu ametubariki - Mungu atubariki na atatubariki
Miisho yote ya dunia itamcha