Login | Register

Sauti za Kuimba

Watu na Wakushukuru Lyrics

WATU NA WAKUSHUKURU

@ D. Rukuguru

{ Watu na wakushukuru,
Watu na wakushukuru ee Mungu, wakushukuru } *2
{ Na wakushukuru , wakushukuru *2
Ee Mungu, watu wote na wakushukuru Mungu } *2

 1. Mungu na atufadhili na kutuangazia,
  Kutuangazia uso wake
 2. Njia yake ijulikane duniani kote,
  Wokovu wake kwa mataifa yote
 3. Nchi imetoa imetoa mazao yake,
  Mungu wetu ametubariki
 4. Mungu atubariki na atatubariki
  Miisho yote ya dunia itamcha
Watu na Wakushukuru
COMPOSERD. Rukuguru
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMshike Mshike (Vol 5)
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
REFPs. 67
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE3
8
NOTES Open PDF
 • Comments