Waumini Tutaitwa
Waumini Tutaitwa | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Kila Mwenye Pumzi (vol 4) |
Category | General |
Views | 6,276 |
Waumini Tutaitwa Lyrics
 Waumini tutaitwa (tutaitwa majina)
 Waumini tutaitwa (tutaitwa )
 Waumini tutaimba, tutaimba na Yesu *2
 Aleluya (kweli) tutaimba (kwa shangwe)
 Aleluya milele yote (yote)
 Tukiwa naye Yesu uso kwa uso tutashangilia *2- Moyo wangu *2 umtukuze (tukuze yeye)
Moyo wangu umuimbie, (moyo wangu *2)
Moyo wangu umuabudu yeye mwenye adili *2 - Wanaheri *2 wanaokwenda (kwenda kwa Yesu)
Ili Yesu awasamehe, (ili Yesu ili Yesu)
Siku Bwana atarudi, watafunguliwa *2 - Jitahidi*2 ukahakikishe (kishe ya kwamba)
Tayari umekubaliwa (tayari tayari)
Kuingia au kufika lango Yerusalemu *2