Weka Pete Lyrics

WEKA PETE

 • Na ___ weka pete [hiyo]
  Kithibitisho ibaki thabiti
  Ndani ya ndoa mtakaa kiapo mmekula

  [s:] Nendeni sasa mjenge boma
  (Ten) Jengeni boma jengeni boma iliyobarikiwa
  Bibi na Bwana watoto boma yenye baraka

 • Na ___ kata keki -
 • Na ___ weka sahihi -
 • Na padre weka sahihi -
Weka Pete
CHOIR
CATEGORYHarusi
 • Comments