Yesu Akasema
Yesu Akasema | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
Views | 5,697 |
Yesu Akasema Lyrics
Yesu Akasema, amini nawaambia,
mmoja wenu anayekula nami atanitasaliti *2
Wakahuzunika, wakaanza kusema,
je ni mimi je ni mimi ni mimi Bwana (Yesu)
Akawaambia ni mmoja wa hao thenashara
ambaye achovya nami katika kikombe *2- Lakini ole wake mtu yule anayemsaliti mwana wa Adamu
Ingekuwa heri kwake kama asingelizaliwa - [v] Nao walipokwisha kuila,
[w] Walipanda mlima wa Mizeituni